Afichuia Madudu "Walijifungia chumbani, Waziri ametuletea matatizo" Mbunge Ndaisaba
Mbunge wa Ngara (CCM) Ndaisaba Ruhoro akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.