Costa Titch na Diamond Platnumz wametuletea hii ngoma mpya ‘Superstar’

1 mwezi umepita 31

Ni Mkali kutokea Afrika Kusini, Costa Titch na Diamond Platnumz ambapo time hii wametuletea video mpya ya wimbo wao uitwao Superstar waliomshirikisha Ma Gang.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandika chochote ili wakali wao wakipita wasome mlichowaandikia.

 

Source : Millardayo.com

SHARE THIS POST