DC Msando akingia kifua fedha za mfuko wa jimbo, atoa maelekezo kwa watendaji

1 wiki imepita 24


Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Albert Msando, amewaagiza watendaji wa kata wilayani humo kuhakikisha wanaweka uwazi katika matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ili kuweza kuleta matokeo chanya. Mkuu huyo wa wilaya ametoa agizo hilo wakati akiongea na watumishi wa serikali na madiwani kwenye makabidhiano ya Saruji, bati na fedha za mfuko wa jimbo la Handeni vijijini mbele ya mbunge John Sallu na kusema kuwa uwazi katika matumizi hayo lazima uwepo.
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST