DCEA kufanya msako kila kijiji kudhibiti kilimo cha bangi, matumizi ya dawa za kulevya

2 miezi imepita 32


Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas James Lyimo amesema Mamlaka cake itaanzisha operesheni ya kila kijiji na mikoa yote nchini ili kuwakama watu wote wanaofanya kilimo cha mmea wa bangi ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. #AzamTVUpdates #AzamNews #dcea #mamlakayakudhibitidawazakulevya
Source : AzamTV

SHARE THIS POST