Duuuh TAZAMA Getere aalivyomlipua Waziri ''Rais Samia analijua kweli hili?, hivi mkoje nyie?''
Mbunge wa Bunda (CCM) Boniphace Getere akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.