Fahamu eSIM Mfumo Mpya wa Laini za Simu za Kidigitali

2 miezi imepita 45

Fahamu eSIM Mfumo Mpya wa Laini za Simu za KidigitaliWakati dunia ikizidi kusonga mbela na teknolojia mpya za simu zinazojikunja na nyingine kama hizo, kampuni za mitandao ya simu nazo zimeanza kubadilika na kuja na teknolojia mpya za laini za simu za kidigitali au eSIM. Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanapenda kujua zaidi kuhusu mfumo huu mpya wa laini za kidigitali basi […]
Source : Tanzania Tech

SHARE THIS POST