Highlights | Azam FC 6-1 Mbeya City | NBCPL - 31/12/2022
Tazama mambo yalivyokuwa wakati Azam FC ikiishushia kichapo cha mabo 6-1 Mbeya City. Magoli yamefungwa na Abdul Sopu, Prince Dube, Iddy Nado, Clephace Mkandala na Keneth Muguna kwa upande wa Azam FC. Na Richardson Ng'odya akaweka moja la kufutia machozi kwa Mbeya City