KIKAO KAZI

1 wiki imepita 33

Sehemu ya Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha Mameneja wa TANROADS na Waziri huyo jijini Dodoma.Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wakati wa kikao kazi kilichowakutanisha Mameneja hao na Waziri huyo jijini Dodoma.

Source : Michuzi Blog

SHARE THIS POST