Kimeumana! Mwakamo afichua makubwa yanayoendelea kwenye Ardhi Kibaha na Pwani
Mbunge wa Kibaha Vijijini (CCM) Michael Mwakamo akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.