Kocha Mkuu wa Yanga Nasredine Nabi amefungiwa michezo mitatu kukaa katika benchi pamoja na faini ya Tsh 500,000 baada ya kuwatolea maneno makali Mwamuzi wa kati na Mwamuzi wa akiba wakati wa mchezo wa Ihefu na Yanga ambapo Yanga alipoteza 2-1.
#MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/B6RCw5R9fD