KONDAKTA ANAYETREND MITANDAONI NA UCHESHI KWA ABIRIA AFUNGUKA, AFANANISHWA NA JOTI

1 mwezi umepita 55


KONDAKTA ANAYETREND MITANDAONI NA UCHESHI KWA ABIRIA AFUNGUKA, AFANANISHWA NA JOTI Kijana Abdallah Sijambo maarufu kwa jina la Muhasibu wa Daladala ni moja kati ya Makondakta wa Daladala waliojizolea umaarufu mkubwa kupitia mitandao ya kijamii, kutokana na ucheshi wake kwa abiria. Wasafi Digital kupitia ripota wetu @hamisimguta imepiga stroy na Sijambo aliyejizolea umaarufu huo kwa muda mrefu huku wengi wakivutiwa kupanda gari yake na kumfananisha na muigizaji mkubwa nchini 'Joti' ambapo amesema ucheshi wake umempa fursa kubwa ya kuingiza pesa, na wakati mwingine kutunzwa pesa nyingi na abiria wanaovutiwa na huduma yake. WATCH WASAFI TVπŸ“Ί AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM πŸ“» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI πŸ“» | 104.1 DODOMA πŸ“» | 94.5 ARUSHA πŸ“» | 97.3 MBEYA πŸ“» | 94.9 MWANZA πŸ“» | SHINYANGA 106.3 πŸ“» | KIGOMA 101.7 πŸ“» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ π‘ͺπ’π’‘π’šπ’“π’Šπ’ˆπ’‰π’• Β©2021 π‘Ύπ’‚π’”π’‚π’‡π’Š π‘΄π’†π’…π’Šπ’‚. 𝑨𝒍𝒍 π’“π’Šπ’ˆπ’‰π’•π’” 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #mhasibuwadaladala
Source : Wasafi Media

SHARE THIS POST