🔴#LIVE: Isabelaa mzungu anayecheza nyimbo za kiafrika/ "Mimi sio dansa wa Diamond, Mlete mzungu"

1 mwezi umepita 41


Mwananchi Digital tumefanya mahojiano na Isabelaa Afro ambaye ni mzungu anayefahamika kwa kucheza nyimbo za kiafrika na kuzungumza naye mikakati yake mbalimbali pamoja na kilichomfanya aanze kuimba.
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST