Magoli | Dodoma Jiji 2 -0 Kagera Sugar | NBC Premier Laegue 30/12/2022

3 miezi imepita 39


Tazama magoli yote ya mchezo wa NBC Premier League kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Kagera Sugar wakati Dodoma Jiji wakifanikiwa kuondoka na alama zote tatu, magoli hayo yamefungwa na Hassan Mwaterema na Collins Opare.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST