Magoli | Singida Big Stars 2-1 Geita Gold | NBCPL - 30/12/2022

3 miezi imepita 38


Tazama magoli yote ya Singida Big Stars ikiifunga Geita Gold 2-1 kwenye mchezo wa NBC Premier League. Magoli yamefungwa na Bruno Gomes na Biemes Carno kwa upande wa Singida Big Stars. Na Haruna Shamte kwa upande wa Geita Gold
Source : AzamTV

SHARE THIS POST