Magoli yote | Azam 6-1 Mbeya City | NBC PL - 31/12/2022
Haya hapa magoli yote Azam FC ikiishushia mkong'oto wa mabao 6-1 Mbeya City. Magoli yamefungwa na Abdul Sopu, Prince Dube, Iddy Nado, Clephace Mkandala na Keneth Muguna kwa upande wa Azam FC. Na Richardson Ng'odya akaweka moja la kufutia machozi kwa Mbeya City