Mambo ya Kutegemea Kwenye Uzinduzi wa iPhone 14

2 miezi imepita 44

Mambo ya Kutegemea Kwenye Uzinduzi wa iPhone 14Tukio kubwa zaidi la mwaka la Apple na uzinduzi wa iPhone 14 hatimaye limetufikia. Tukio hilo ambalo limepewa jina la ‘Far Out’ linafanyika huko nchini marekani kwenye makao makuu ya kampuni ya Apple maarufu kama Apple Park. Kupitia mkutano huo ambao unafanyika leo kuanzia 20:00 PM saa mbili ya usiku kwa muda wa saa za […]
Source : Tanzania Tech

SHARE THIS POST