Mamlaka ya Elimu yaokoa watumia dawa za kulevya 114 kupitia mafunzo ya ujuzi

2 miezi imepita 39


Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameipongeza Mamlaka ya Elimu nchini (TEA) kwa kutoa ruzuku ya zaidi ya shilingi milioni 131 kwa Chuo Cha Maendeleo ya Wananchi na kusaidia wahitimu zaidi ya 6,150 kupata mafunzo ya ujuzi. Miongoni mwa wanufaika wa mafunzo hayo ya ujuzi yaliyotolewa kwa miezi mitatu ni waathirika 114 wa dawa za kulevya ambao kabla ya kupewa mafunzo ya ujuzi walipatiwa mafunzo ya kuachana na matumizi ya dawa hizo. #AzamTVUpdates #ElimuYaUjuzi #MamlakaYaElimu @officialtea
Source : AzamTV

SHARE THIS POST