MASHABIKI YANGA washindwa kujizuia watuma ujumbe mzito kwa RAIS SAMIA

1 wiki imepita 25


Mashabiki wa Klabu ya soka ya Yanga leo wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Zakhem Mbagala Jijini Dar es Salaam, huku wakiwa wamebeba mabango mbalimbali yaliyojaa ujumbe wa kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hamasa yake katika michezo. Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa Fainali wa Kombe la shirikisho Barani Africa na timu ya Us Alger ya Algeria Mei 28 siku ya Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #mbowe
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST