Mbunge Slaa amuita Waziri Kairuki stendi ya Kigogo sokoni

3 miezi imepita 58


Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Slaa amemuomba Waziri wa TAMISEMI Angellah Kairuki kuingilia kati mgogoro wa kimipaka kati ya Wilaya ya Kisarawe na stand ya mabasi ya sokoni kigogo kuhamia kisarawe ambapo imeleta mvutano na wafanyabiashara katika eneo hilo Hayo ameyasema leo Jijini Dar es salaam akizungumza na wananchi wa Kigogo sokoni pamoja wafanyabiashara hao ambao ni wasafirishaji
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST