METACHA MNATA AWAPONZA SINGIDA BIG STARS

1 mwezi umepita 38

TIMU mbili Bongo zinazoshiriki Ligi Kuu Bara zimekutana na rungu la kufungiwa kufanya usajili kwa dirisha moja kutokana na makosa ambayo wamefanya. Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 7,2022 na TFF, imeeleza namna hii:-“Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF), imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara za […]
Source : Salehe Jembe

SHARE THIS POST