Mgongano wa Mgogoro uliodumu miaka 13 "niliongea kwa uchungu, kunamgongano"
1 wiki imepita
20
Mbunge wa Kwela (CCM) Deus Sangu akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.