"Migogoro ya ardhi iko nchi nzima, kwanini Wizara ijielekeze katika halmashauri 41 tu?" Mbunge Maida
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) Maida Hamad Abdallah akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.