MOSES PHIRI ANZA KWA KISHINDO SIMBA SC APEWA TUZO "NAWASHUKURU SANA KWA WALIVYONIPOKEA"

1 mwezi umepita 66


Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia anayeichezea Simba SC Moses Phiri amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi September wa Simba SC kiwa ni mara yake ya kwanza kushinda tuzo hiyo.
Source : Millard Ayo

SHARE THIS POST