Msongamano Dar es salaam kupungua zaidi, barabara ya juu nyingine yaanza kutumika
Barabara ya juu katika makutano ya Kilwa na Nelson Mandela - Dar es Salaam imeanza kutumika hii leo ili kupunguza msongamano wa magari na kukamilisha ujenzi unaoendelea wa awamu ya pili ya barabara ya mabasi ya mwendo wa haraka. #AzamTVUpdates