
KUELEKEA mchezo wa funga mwaka kwa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar kiungo Bernard Morrison mzee wa kuchetua hatakuwa sehemu ya mchezo huo. Utakuwa mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili kucheza ndani ya 2022 tukisubiri Neema ya Mungu kuuanza 2023. Sababu kubwa ya nyota huyo kutokuwa kwenye kikosi hicho ni kutokana na matatizo ya kifamilia. […]