NDANI YA NIPASHE LEO | IPPMEDIA

2 miezi imepita 566

Aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya akiwasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusikiliza kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, inayomkabili.

26Sep 2022

Na Mwandishi Wetu

Nipashe

Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa na kuachiliwa huru Septemba 6 mwaka huu.Walioachiliwa...

Mwenyekiti wa kamati ya michezo ya bandari TPA, Mussa Msabiamana, akizungumza na waandishi wa habari mjini Morogoro leo kuhusu michezo ya bandari inayotarajiwa kufunguliwa leo katika uwanja jamhuri mjini Morogoro na Waziri habari,vijana ,utamaduni na michezo zanzibar, Tabia Maulid Mwita.

26Sep 2022

Ashton Balaigwa

Nipashe

Akizungumza na waandishi wa habari Morogoro, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo ambaye ni Meneja Rasilimali watu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, Mussa Msabimana, amesema michezo hiyo...

Mkurugenzi wa shule ya St Anne Marie Academy, Dk. Jasson Rweikiza akizungumza kwenye mahafali ya 18 ya shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki shuleni hapo Mbezi Kimara kwa Msuguri jijini Dar es Salaam.

26Sep 2022

Na Mwandishi Wetu

Nipashe

Pongezi hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki na Kamishna wa Elimu, Dk.Lyabwene Mtahabwa, ambaye alimwakilisha Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolph Mkenda, kwenye mahafali ya 18 ya...

Ofisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (katikati), Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Serikali wa benki hiyo, Amanda Feruzi (kulia) na Meneja Mwandamizi wa Uhusiano wa Biashara ya Nje ya Nchi, Lucy Kimei (kushoto), wakifurahia tuzo ya Benki Bora ya Wateja Binafsi na Biashara Tanzania kwa Mwaka 2022 iliyotunukiwa benki hiyo, jijini London mwishoni mwa wiki. HABARI UK. 4. PICHA: MPIGAPICHA WETU

26Sep 2022

Na Mwandishi Wetu

Nipashe

NMB ilitunukiwa tuzo ya Benki Bora ya Wateja Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 kwenye hafla ya tuzo za Global Banking and Finance (GBAF) zilizofanyika London, Uingereza.Tuzo hizo zilianzishwa mwaka...

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma jana kuhusu taarifa ya mkutano wa Mapitio ya Sera na Mitaala unaotarajiwa kufanyika kuanzia leo hadi Septemba 28. PICHA: MPIGAPICHA WETU

26Sep 2022

Augusta Njoji

Nipashe

Miongoni mwa vigezo vya kupata ufadhili huo ni kudahiliwa kwenye vyuo vikuu vya ndani ya nchi kusomea masomo ya sayansi, uhandisi na elimu tiba ambapo Sh. bilioni tatu zimetengwa kwa ajili yao.Waziri...

GAVANA wa Benki Kuu (BoT), Prof. Florens Luoga.

26Sep 2022

Maulid Mmbaga

Nipashe

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma juzi, MPC ilifanya kikao Septemba 23, mwaka huu, ili kutathmini utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi kwa mwezi Julai na Agosti, ikibaini...

26Sep 2022

Augusta Njoji

Nipashe

*Magari ya serikali yaongoza

Kutokana na hali hiyo, kikosi hicho kimetoa elimu kwa madereva wa magari ya serikali na kuwataka kuacha mihemko kwa kuwa hawako juu ya sheria.Akizungumza mwishoni mwa wiki katika mafunzo maalum ya...

26Sep 2022

Elizaberth Zaya

Nipashe

Mwanasiasa huyo pia alilalamikia kile alichokiita kuingiliwa kwa uhuru wa mahakama na kutaka wadau kuingilia jambo hilo alilosema linadidimiza ukuaji wa vyama vya siasa nchini.Akizungumza na...

26Sep 2022

Adam Fungamwango

Nipashe

Hiki ni kipigo cha pili kwa Biashara United, kwani kwenye mechi ya kwanza ilifungwa pia bao 1-0 kwenye mechi ya ufunguzi wa ligi hiyo dhidi ya Fountain Gate na kuifanya kutokuwa na pointi yoyote wala...

26Sep 2022

Adam Fungamwango

Nipashe

Akizungumza baada ya kumalizika kwa mechi hiyo ya kirafiki ya kimataifa iliyo kwenye Kaenda ya FIFA, Stars ikishinda bao 1-0 juzi usiku kwenye Uwanja wa Modern Benghazi nchini Libya, kocha huyo...

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda.

26Sep 2022

Na Mwandishi Wetu

Nipashe

***Video zambeba, sasa awajaza ufundi mastaa wake Zanzibar kabla ya...

Simba ipo visiwani Zanzibar ikijiandaa na mchezo huo utakaopigwa Oktoba 9 nchini Angola kabla ya kurudiana Uwanja wa Benjamin Mkapa Oktoba 16, mwaka huu na mshindi wa jumla atakata tiketi ya kutinga...

26Sep 2022

Saada Akida

Nipashe

Katika pambano hilo ambalo lilipigwa juzi usiku kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, lilikuwa la raundi kumi.Kiduku alikutana na upinzani mkali huku mpinzani wake akiwa mwepesi kukimbia...

26Sep 2022

Na Mwandishi Wetu

Nipashe

Wakati wachezaji kama Erling Haaland wa Manchester City (euro milioni 60) na Aurelien Tchouameni wa Real Madrid (euro milioni 80) wakiwa wameanza vema katika nyumba zao mpya, baadhi yao bado...

26Sep 2022

Saada Akida

Nipashe

Mandonga mwenye rekodi ya kucheza mapambano matano kabla ya pambano lake la juzi, Jumamosi dhidi ya Salim Abeid kutoka Tanga lililofanyika mkoani Mtwara katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, ameshinda...

26Sep 2022

Na Mwandishi Wetu

Nipashe

Nywele zao hugeuka kijivu haraka na mikunjo na mistari ya wasiwasi huanza kuonekana kwenye nyuso zao. Matokeo uwanjani mara moja tu yanaweza kubadilisha mustakabali mzima wa kocha.Ndiyo maana makocha...

25Sep 2022

Jaliwason Jasson

Nipashe

Dk. Biteko ameyasema hayo leo Septemba 25 katika Jubilee ya miaka 75 ya Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania wakati akizungumza na viongozi wa kanisa hilo, waumini, wageni kutoka nje ya nchi...

24Sep 2022

Adam Fungamwango

Nipashe

Hilo limesababisha Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuwapeleka kwenye Kamati ya Waamuzi, baadhi ya marefa na waamuzi wasaidizi kwa ajili ya kujadiliwa na...

24Sep 2022

Mhariri

Nipashe

Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kupeleka timu kushiriki fainali hizo za dunia na Serengeti Boys imepangwa Kundi D ikiwa pamoja na Canada, Japan na Ufaransa.Katika kusaka tiketi ya kushiriki...

'Twaha Kiduku'

24Sep 2022

Saada Akida

Nipashe

Licha ya kuwapo kwa mapambano ya utangulizi mbalimbali, Karim Mandonga anaonekana kubeba taswira ya siku ya leo kutokana na umaarufu alionao kwa sasa.Mandoga amekuwa na umaarufu mkubwa ndani ya nchi...

Nabi

24Sep 2022

Saada Akida

Nipashe

***Lengo ni kuhakikisha Yanga inamaliza kazi nyumbani, Simba hawapoi...

....dhidi ya Al Hilal kutoka Sudan itakayochezwa Oktoba 8, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.Akizungumza na gazeti hili jijini jana, Nabi, raia wa Tunisia alisema wachezaji...

Source : Nipashe

SHARE THIS POST