RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZI KUFUATILA KIFO CHA RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA WATU WA CHINA JIANG ZEMIN

2 miezi imepita 60

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,alipofia ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022.(Picha na Ikulu)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kumaliza kutia saini kitabu cha maombelezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo 2-12-2022 katika ubalozi mdogo wa China Mazizini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

Source : Michuzi Blog

SHARE THIS POST