Shida ya maji yawaibua wananchi hawa Kilindi

1 wiki imepita 24


Wananchi wa kijiji cha Msente kata ya Jaila wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewashukuru wadau wa maendeleo na serikali,kwa kufanikisha kupelekewa mradi wa kisima kirefu cha maji. Akizungmza wakati wa kupokea mradi huo uliofadhiliwa na taasisi ya kiislam ya Hamdan Group diwani kata ya Jaila Ramadhan Mwatangulu amesema kata yake ina changamoto kubwa ya upatikanaji maji kwa wananchi.
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST