Singida Big Stars 2 -1 Geita Gold | Highlights | NBC Premier League 30/12/2022
Hiki ndicho kilichojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League uliowakutanisha Singida Big Stars dhidi Geita Gold FC na Singida Big Stars wakiondoka na alama zote tatu kupitia kwa magoli yaliyofungwa na Biemes Carno 30' na Bruno Gomes 80' (p) kwa upande wa Singida Big Stars wakati goli pekee la Geita Gold likifungwa na Haruna Shamte kwa mkwaju wa penati.