Tamasha kubwa la siku tatu Askofu asema' Afrika kuna mlipuko unaokwenda kutokea, ukame'

2 miezi imepita 34


Askofu Mkuu na Mwangalizi Mkuu wa WAPO MISSION INTERNATIONAL Sylvester Gamanywa katika mkutano na waandishi wa habari kwenye studio za Wapo Tv leo Disemba 02, 2022 kuelekea Tamasha kubwa la uimbaji na miujiza. Tamasha hilo linaanza leo Disemba 02 hadi Disemba 04, 2022 katika ukumbi wa BCIC Mbezi beach Jogoo Jijini Dar es Salaam.
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST