Tengeneza Video za Mitandao ya Kijamii Bila Kuwa na Ujuzi

2 miezi imepita 58

Tengeneza Video za Mitandao ya Kijamii Bila Kuwa na UjuziUkweli ni kwamba kwa sasa video zinayo nafasi kubwa sana pengine kuliko blogs, vitabu pamoja na magazeti au majarida mbalimbali ambayo yanakuwa kwenye mfumo wa maandishi. Hii inasababishwa na urahisi wa kuangalia video na kuweza kujifuza kwa haraka kuliko kusoma maandishi mengi ambayo sio watu wote ambao wanapenda sana siku hizi. Kuliona hili leo nimekuleta […]
Source : Tanzania Tech

SHARE THIS POST