“Utaondoka kwenye Wizara hii, Okoa MAUAJI yanayoendelea Tanzania” Sanga amwambia Waziri Mabula
Mbunge wa Makete (CCM) Festo Sanga akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24.