Wananchi Handeni waamua kuanza kujenga madaraja yaliosombwa na mafuriko

3 miezi imepita 48


Baada ya mvua kusomba madaraja zaidi ya matano katika maeneo mbalimbali wilayani Handeni mkoani Tanga,wananchi wameamua kujitolea kuziba baadhi ya mashimo ili kuweza kupata huduma. Wakiongea kwa nyakati tofauti katika kijiji cha Mumbwi kwenye msalagambo wa kujaza mawe kwenye daraja la eneo hilo wakiwa na mbunge wao John Sallu,wananchi hao wamesema wakisubiri serikali ilete fedha,wao wanaanza ujenzi.
Source : Mwananchi Digital

SHARE THIS POST