Wanasiasa kutumia ruhusa ya wafungwa kupiga kura kama mtaji kwenye uchaguzi

3 miezi imepita 36


Baadhi ya wanasiasa nchini wamekuwa na maoni tofauti kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu nchini kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu. Haya ndiyo maoni ya baadhi ya wanasiasa waliozungumza na Azam News. #AzamTVUpdates
Source : AzamTV

SHARE THIS POST