Waziri Mkuu apongeza Serikali kulidhibiti kundi la 'Panya road'

2 wiki zimepita 51


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imefanikiwa kulidhibiti kundi la kihalifu la Panya road jijini Dar es Salaam na kueleza kuwa kundi hilo na makundi mengine ya kihalifu hayataachwa kuvuruga amani ya watanzania.
Source : AzamTV

SHARE THIS POST